المدة الزمنية 15:31

MANARA AMKUBALI MZEE MPILI/ MZEE AMESEMA KWELI/ NITAMPA MILIONI MOJA CASH

بواسطة Dar24 Media
30 325 مشاهدة
0
91
تم نشره في 2021/07/01

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Simba SC Haji Sunday Manara amekubali maneno yaliyosemwa na Mzee Mpili baada ya kuhojiwa na Dar24 Media jana jumatano (Juni 30) jijini Dar es salaam. Mzee Mpili ambaye kwa sasa ameshika chati kwenye mitandao ya kijamii, kufautia uzalendo wake ndani ya Young Africans alisema hadharani namna anavyomfahamu Haji Manara kabla na baada ya kuzaliwa kwake. Baada ya mahojiano hayo kurushwa hewani jana Jumatano jioni Haji Manara alifuatilia na kuandika kwenye ukarasa wake wa Instagram huku akimuahidi Mzee huyo wa Ikwiriri Shilingi milioni 1, endapo Young Africans itafanikiwa kuifunga Simba SC Jumamosi (JULAI 03). -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #manara #mzeempili #simbasc

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 22
  • @
    @kassidpandu866منذ 3 سنوات Aahaaa kumbe Manara Simba damuu Asante Mzee Mpili umenifungua macho leo
  • @
    @SirdickOmondiمنذ 3 سنوات manara naomba utoe ahadi yako Peacefully
  • @
    @suleimanmwenyemvua995منذ 3 سنوات Hao Nani BN.wewe ndiyo umeokota wachezaji mwizi wa wachezaji. , Morrison
  • @
    @vinozamhone1110منذ 3 سنوات Manara mpatie million moja yake mzee Mpili mana uliahidi yanga ikishinda utampa one million cash naleo kishakutandika mzee Mpili
  • @
    @venitarugemalila3971منذ 3 سنوات Aaaa mzee uyu anajua alipokwenda kufanya yake nakuwapumbaza wachezaji wetu sasa uje mkavu mzee kigoma usifanye mambo yako tukuchape maana wewe km uko mkavu id="hidden1" class="buttons"> bado tunasema kuifunga simba huwezi sema umelimoti wachezaji wetu hata wapo langoni mpira hauingii ....وسعت
  • @
    @victormbaga5772منذ 3 سنوات Uchawi wa yanga umeyeyuka . goli 4 wanakula ili ijulikane simba ni yakisasa nasema tena goli 4 1
  • @
    @staniamhagama6141منذ 3 سنوات Yule aliyekua anavunja nazi saa saba mchana uwanja wa mkapa mkicheza na kaizer chief alikua anafanya nn?