المدة الزمنية 16:41

KIBONDE Alijua ATAKUFA Akaacha WOSIA, Baba, Mtoto Wasimulia

بواسطة Global TV Online
259 413 مشاهدة
0
942
تم نشره في 2019/03/08

KIBONDE Alijua ATAKUFA Akaacha WOSIA, Baba, Mtoto Wasimulia Global TV imefika nyumbani kwa Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Marehemu Ephraim Kibonde, maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar na kuzungumza na Baba mzazi na mtoto wa kwanza wa marehemu Kibonde.... Baba mzazi wa Kibonde amesema ni kama mwanae alikiona kifo chake kwani mara ya mwisho alizungumza nae akiwa hospitali muda mfupi kabla ya mauti kumkuta na akamsisitiza sana Baba yake kuwaangalia wajukuu zake yaani watoto wake watatu ambao amewaacha... Aidha Mtoto wa kwanza wa Kibonde anayeitwa Ephraim naye ameongeza kuwa hatomsahau baba yake kwa jinsi ambavyo alikuwa mchapakazi na mara ya mwisho alipowasiliana nae alimwambia kuwa anajiandaa kurudi Dar... Mwili wa Kibonde umeingia Dar es Salaam jana ukitokea mkoani Mwanza ambapo ndipomauti yalipomkuta... Kibonde anatarajia kuzikwa keshi Jumamosi Machi 08, katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar... #RIPKIBONDE /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 325
  • @
    @manjumpoto165منذ 5 سنوات SUBHAANALLAH inasikitisha, inahuzunisha, inatisha WALLAH INSHALLAH MUNGU awakuze vyema watoto, babu yao na familia kwa ujumla awape nguvu. INNAALILLAH WAINNAILAYHI RAAJIUN 43
  • @
    @lilianestephanie7881منذ 5 سنوات My brother junior your very strong.God bless you in your life bro..Nakupenda 27
  • @
    @masoudgonje9167منذ 5 سنوات Presenter,Ungefanikiwa kuona walau japo Demo version yangu Moja hyo ya mwaka 2010 wakati nasotea Chance ya hicho unachokifanya,naamini unge tupa Mic chini id="hidden2" class="buttons"> kwa kishindo kisha ukarudi KujiSearch upya.yaani Kifupi nakupa 13% meaning ¡,kuwafuata wafiwa na Kuwahoji 7%¡¡: Kwenda Kuwafariji Wafiwa (kama alivyosema Mzee Sam) 5%¡¡¡, Kuwasha Camera 1%. Wenda shule ipo lakini Talanta ni No! ....وسعت 2
  • @
    @24habariمنذ 5 سنوات Mtoto wa kibonde ana kifua ni mvumilivu na jasiri , pia ni mwerevu.
    Jitahidi sana kuwaangalia wadogo zako na angalia focus kama alivyokuasa mzee id="hidden3" class="buttons"> wako.
    Gundua hazina yako na itumie hiyo kujikwamua kimaisha. Kile alichokiacha Baba kitumie kwa manufaa yako na wadogo zako kwakuwa hazina yako ilipo ndipo na moyo wako ulipo. Pole sana mdogo wangu
    ....وسعت 14
  • @
    @dorcasroma6715منذ 5 سنوات May God strengthen you and the kids. Too sad. Rip Kibonde.
  • @
    @mwanajumaomahundumla6504منذ 5 سنوات Mwanaume ni mwanaume tu itabaki Kuwa hivyo Mungu azidi kukupa nguvu mwanangu na akubariki wewe na wadogo zako Amiin 30
  • @
    @glad4653منذ 5 سنوات may God protect these orphans and their grandparents. So sad.
  • @
    @miriammbula2021منذ 5 سنوات Junior wewe ni mwanaume wa kipekee katika familia just be strong and set a role model to your younger sisters na mungu akupe uwezo na hasa katika kipindi hiki kigumu xana rip kibonde 19
  • @
    @elminakalunga4030منذ 5 سنوات Ephraim Junior una sauti kama baba yako Ephraim Senior! Be strong and take care of you Siblings and Grandparents. God give strength to the children. 6
  • @
    @emmanuelmwaka6070منذ 5 سنوات Amen baba Mungu ndio kilakitu katika maisha yetu
  • @
    @janethwandi9742منذ 5 سنوات Poleni sana familia ya E. KIBONDE. Mwenyezi Mungu awape nguvu, imani, na tumaini. Naomba msimuache MUNGU.
  • @
    @aminamgaya7511منذ 5 سنوات Pole ephraim baba angu mungu akupe nguvu inshaalah 4
  • @
    @belezymashauri2274منذ 5 سنوات Junior.ur super strong brother.mungu huyu wa mbinguni tunayemuamini akupiganie siku zote katika maisha yako.Nakupenda 7
  • @
    @giovannygracious3434منذ 5 سنوات Ephraim aunt yangu!! Ulitaman aamke alipolala umwambie sasa nimekuelewa baba!! Pole aunt Mungu yupo mpo salama 1
  • @
    @dianafrank4740منذ 5 سنوات Pole baba ni mapenzi ya mungu na mungu akutie nguvu na umwamini mungu 1
  • @
    @mwanzalimajmashimbaمنذ 5 سنوات Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu, poleni sana tuko pamoja, tumuombee ndg Kibonde Mungu ampumzishe kwa amani.
  • @
    @sarahwanjala6601منذ 5 سنوات Baba pole sana maneno yako yanabusara sana baba yangu kweli inauma sana ila yote nimipango ya Mungu tupo pamoja nawe baba katika musiba huu
  • @
    @sarahrajabu9812منذ 5 سنوات Pole sana mwanangu mwenyezi mungu awape moyo wa subra na wadogo zako mwanaume ni mwanaume mwenyezi mungu awakuze salama Inshallah
  • @
    @noronhacompanylimited5370منذ 5 سنوات Pole sana Ephraim, kijana mwenzangu umenionesha ujasiri wa hali ya juu!
  • @
    @rehemamsuya2263منذ 5 سنوات Pole baba sisi wote ni wa Mungu na kwake tutarejea,,ila mtangazaji unaboa sana na maswali,Baba nimejifunza kwako
  • @
    @imaniamani7671منذ 5 سنوات Pole mdogo wangu Mungu akupe nguvu na faraja
  • @
    @maryndosi2280منذ 5 سنوات polee sana babaangu Mungu awatie nguvu
  • @
    @gracemanase2013منذ 5 سنوات poleni sana wana familia,hakika Baba umeongea Neno la msingi kabisa,duniani tunapita tu tunahitji kufanya tathimin ya Maisha kati yetu na Mungu maana hatujui id="hidden5" class="buttons"> siku wala saa tutakapotwaliwa.Mungu atusaidie tuwe na hofu sana na Mungu ....وسعت
  • @
    @kokujuko4706منذ 5 سنوات polen wafiwa mungu awajalie hekima ma upendo wapumzike kwa amani.
  • @
    @emmanuelbonifas3517منذ 5 سنوات mungu aendelee kuwa faraja yenu poleni sana na msichoke kuwaombea wazazi wenu dua kwa mwenyz mungu
  • @
    @shiraann632منذ 5 سنوات Poleni sana mola ailaze roho yake pema peponi na awape nguvu kipindi hiki kigumu;mungu alitoa na ametwaa
  • @
    @reginawitacha7921منذ 5 سنوات Poleni familia kwa hii stuation inauma sana kwakwel
  • @
    @furahandelwa7900منذ 5 سنوات Mungu akusaidie mtt uongoze ndugu zako Maana umeshakuwa sasa 11
  • @
    @arafahassan8391منذ 5 سنوات Mtangazaji ovyooo,Pole mdogo wangu,Mungu awatie nguvu.R I P Kibonde. 1
  • @
    @charlittotarimo519منذ 5 سنوات Duuuuuuh kwelii huyu ni Ephraim kibonde Jr 8
  • @
    @khadijanyoni2457منذ 5 سنوات Pole junior efrahim mungu awatie nguvu wewe na wadogo zako
  • @
    @oliviamboma1347منذ 5 سنوات Ni kumshukuru mungu kwa kila jambo napenda sana ulivyo strong maan najua wewe ndo wa kuwakumbatia wadogo zako mungu akupe nguvu zaidi ya kustahimili Mapito yote may he rest in peace amen 1
  • @
    @kaundimemwinyi6644منذ 5 سنوات poleni sana watoto wangu Mmungu atawalinda na kuwakuza pole sana baba Mmungu kapenda
  • @
    @alisaalis9218منذ 5 سنوات Kwa kweli mungu alituficha siku na saa,poleni sana wanafamilia 1
  • @
    @mimah1547منذ 5 سنوات Allah akufanyien wepesi.inshaallah
  • @
    @maryamjey6340منذ 5 سنوات Poleni sana ndugu zetu wa Tz. Allah awarehemu waja wake
  • @
    @faridaabdallah7620منذ 5 سنوات Polesana kijana jikaze mungu atakubariki
  • @
    @roidatadey8656منذ 5 سنوات Poleni sana watoto wa kibonde na familia kiujumla
  • @
    @ironefacemsovela4504منذ 5 سنوات Mtangazaji bora ukalime maswali gn ayo? 6
  • @
    @geegasper5224منذ 5 سنوات Jamn ata Kama Ni utandawaz now days Bt this is too much..mtangazaj unaulizaje wafiwa maswal kma Haya tena wakat msiba bado kbsa jmn Daaah. That's not good 5
  • @
    @mwanatz5980منذ 5 سنوات Poleni sana baba na watoto mungu awape nguvu kwenye kipindi hichi amiin.
  • @
    @secylovenessadaa4245منذ 5 سنوات Pole familia Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu
  • @
    @sakinamubaraka1246منذ 5 سنوات BABA JASIRI UMEJIKAZA KIUME MASHAA ALLAH
  • @
    @nelsonbernadtz3737منذ 5 سنوات Pole kwa family ya kibonde na kwahuyu mtangazaji wa global
  • @
    @rahmahairun4564منذ 5 سنوات Mungu ailaze roho yake mahala pema pepon
  • @
    @merrynancesimoni2728منذ 5 سنوات Yupo strong Kama baba yake jamani ila anaumia ndani ya moyo pole brother mungu awatie nguvu kwakweli 1
  • @
    @asteriamkumbo9198منذ 5 سنوات mungu awatie nguvu katika majonzi mlio nayo
  • @
    @neemamasimba2981منذ 5 سنوات Junior ameniliza kwa kweli Daaa, halafu unanjuwa kujieleza nikikuangalia nalia tu. be strong boy.
  • @
    @stellahmutheu9249منذ 5 سنوات Babu ana maneno mazuri nadhani atakuwa mmoja wa mashahidi wa Yehovah: Mungu azidi kuwafariji
  • @
    @elizabethchuwa8056منذ 5 سنوات Mwenyezi mungu awatie ngv ya kuweza kulibeba Hili, na ampe pumziko la milele Kaka yt ameeeen
  • @
    @shamsahassan2586منذ 5 سنوات maahallah kijana una moyo wakiume mungu akupe nguvu ulee wadogo zako inshallah 7
  • @
    @mrishomindu4231منذ 5 سنوات Pole sana mtangazaji taaluma imekuacha mbali mno mkuu ikimbize tena labda utaifikia. R. I.P Kibonde.
  • @
    @josephinekessy4134منذ 5 سنوات Mungu awape nguvu wafiwa, haswa watoto.
  • @
    @benedictaman936منذ 5 سنوات Mtangazaji nafikir huna taaluma vizuri ww, haiwezekani mfiwa una mhoji zaidi ya dakika kumi halafu maswali ya hovyo tu 73
  • @
    @heriethkisese1407منذ 5 سنوات Mtangazaji rudi shule kasome tena umenikera sana. 16
  • @
    @8019bmمنذ 5 سنوات Pole kijana.
    Mtangazaji jamani.
    Eti utamkumbuka baba ako kwa lipi?, Ulijisikiaje?Maswali gani haya. Waacheni wafiwa watulie, subirini kutangaza ratiba ya msiba n.k.
    1
  • @
    @tulaveyamsuva5129منذ 5 سنوات Ni pengo kubwa sana katika jamii poleni sana wana familia wa kibonde
  • @
    @nusaibahassan5842منذ 5 سنوات Duuuh So Sad Wallah Allah Awape Nguvu Kwa Wakati Huu Mgumu Inshaallaah
  • @
    @chistinawallasch2827منذ 5 سنوات Pole sana kijana, You have to be strong men.
  • @
    @kadogooinn9151منذ 5 سنوات Pole sana bro,naamini baadaye unaweza kuwa kioo cha jamii baada ya kupitia magumu yaliyokupata.MUNGU atakusaidia 1
  • @
    @sakinaomar301منذ 5 سنوات Inallilah wainaillah rajiur poleni sana wafiwa
  • @
    @mohammedabdallah6390منذ 5 سنوات Daaaah.mtangazaji rudi shule yaani hujui mpka umepitiliza
  • @
    @nancynanjala5704منذ 5 سنوات Pole Sana mdogo Wangu take heart and take care to your young sisters
  • @
    @gracemwanjabala8073منذ 5 سنوات hiii familiaaa mungu ariiumbaa wanamaumiv makrii lakin huwez kuyatambua kwa kuwatazam usonii maumivu yaoo
  • @
    @evajoymanyama2294منذ 5 سنوات Poleni sana aiseeee inaumaa kifo chake kinafanana na chababa angu ivyooo yaniiii mtu anaenda msibani ukouko nae anaumwa nakupotezaa maishaaa kifo chake kimeniuma sanaa kimetonesha kidonda kilichokua kinapoa 3
  • @
    @suziecutecute6274منذ 5 سنوات Mungu awape nguvu kipindi hiki na milele
  • @
    @nasrahcute4278منذ 5 سنوات najua unapitia wkt mgumu japokuwa umejikaza ,,,daaah polen sana atimaye mmebaki yatima jmni kifo hichi,,,, 1
  • @
    @madinanoor2505منذ 5 سنوات Dogo yiko powa sana pole kwa kupoteza mzazi wako Mungu awatiye nguvu kwahici kipindi kigumu
  • @
    @tumajuma6917منذ 5 سنوات Kijana upo strong sana ,mtangazaji boyaa sana mtu amefiwa unamhoji mda mrefu tena maswali yakijinga
  • @
    @samsondecoman983منذ 5 سنوات Uyu chali nimafya kinoma ase, pole sana msela angu. 1
  • @
    @mbarikiwambarikiwa3988منذ 5 سنوات jamani poleni sana, Mungu ndo awe faraja yenu kuu.
  • @
    @machasofficialsite6221منذ 5 سنوات Dogo una akili sana unajua kuzungumza licha ya matatizo,ila Mungu mwema 24
  • @
    @marrylema4828منذ 5 سنوات jamani wamemcndikiza ruge kwa ndege na yeye anarudishwa na ndege akiwa haongei inaumiza kweli kifo hakina huruma 8
  • @
    @waukweelinikkon6555منذ 5 سنوات Jamaniii MUNGU awape nguvu sana,Mungu awafariji Hakika,awafute machozi
  • @
    @tedmzeru3430منذ 5 سنوات Watangazaji mnakera mnoo mambo izi za kuhoji wafiwa walahi huwa siwaelewagi kbx 4
  • @
    @anithakalist6194منذ 5 سنوات Pole sana mwanangu mungu akutie nguvu dunia tu wasafiri so sad rip kibonde
  • @
    @madamboss348منذ 5 سنوات Watangazaji wa tz mnaboo sana Mafuguli rekebisha hao watangazaji washenzi sana