المدة الزمنية 3:27

KOCHA WA SIMBA NILIWAAMBIWA WACHEZAJI HUU MWAKA TUNAKIWA KUSHINDA KILA KITU

بواسطة Millard Ayo
15 665 مشاهدة
0
86
تم نشره في 2021/06/26

Simba SC Leo imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup, goli la Simba SC lilifungwa na Bernard Morisson.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 24