ukiifahamu thamani yako moja kwa moja utajua kuna nguvu kubwa sana katika kuytoa msamaha mapema bila kusubiri waliokukosea wakuombe radhi, samehe kwa sababu ni muhimu kwako wewe na sio wao.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
TUFUATE INSTAGRAM:
SPN CHANNEL: https://www.instagram.com/successpath_network
EZDEN JUMANNE: https://www.instagram.com/ezdenjumanne
.
BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
WHATSAPP : (+255)759191076
.
#Ifahamu #Thamani #Yako
@abdoulkarenzo3138منذ 3 سنواتNashukuru saaana kakayangu mtu unapo poteza kitu ulikua unapenda kama kazi amo mpenziwako camuhimu niko nikuafuta kazi ingine amo mpenzi mungine kuliko kuwaza benyewe bilsha kutoka 1
@
@shukranjulius5910منذ 3 سنواتHakika huu ujumbe niwangu kabisa umenitibu Mungu akubariki sana kaka 1
@
@sakaraboy8951منذ 4 سنواتNajifunza hapaaaa.sijawah kukosa kitu Cha kutokanacho 3
@
@augustinoswai68منذ 4 سنواتAsaaante sana barikiwa Sanaa kwa masomo yakoo 1
@
@irakozesefu4185منذ 4 سنواتHeshim sn ndugu yangu Mungu awazidishiye kwa kazi mliyo jitolea kwa kwakuboresha watuu 1
@
@aline_amor87منذ 3 سنواتMafunzo ya maana kabisa katika maisha na ndunia ya sasa tuna shukuru kwa mafunzo mazuri
@
@mashakalonka9407منذ 4 سنواتEzden Jumanne,unatisha brother!,mafunzo haya sio ya kawaida!,in short you are the best!. 4
@
@abushakir4452منذ 4 سنواتAhsante akhiy nimesikiza hii nikiwa na mahasira mengi sana.. 1
@
@hdjirungakashililika7538منذ 4 سنواتNizahiri kuwa unasitahiki eshima,mungu azidi kukupa nguvu,afya na moyo wakutokuchoka kuwaelimisha vijana wa tanzania na nnje ya mipaka ya Tanzania 1
@
@iddmambo3218منذ 4 سنواتThanks a lot brother!! may Allah Grant u more wisdom and deeper understanding of many subjects.. in shaAllah 5
@
@anuarmazee8939منذ 3 سنواتMungu aliwKuxudia kuWaumbA watu kaMa nyinyi munGu awape maixHa mareFu
@
@aline_amor87منذ 3 سنواتNa mshukuru mungu kanijalia nina msamaha ndani yangu Yani mtu aka ni kosea huwa na kasirikaka lakini mda mchache naamua kusamehe na furahi na cheka nae kama kawaida
@
@hatimsalum5587منذ 4 سنواتKuna wakati huwa nafikiria ezden atakuwa siyo mtu wa kawaida, kuna wakati huwa Nafikiria hv kusoma vitabu ndiyo inambadilisha mtu kuwa hivyo dah!!! Sometimes huwa nafikiri kuwa umezaliwa hivyo kuwa ww kama ezden. 6
@
@allymaganda5061منذ 4 سنواتHaya sio tu ni mawazo mazuur sana bali pia ni madini yenye thamani zaid ya diamond. Well done Ezden 2
@
@shabanzege3050منذ 4 سنواتAllha akupe kila la heri ktk kala atua ya mafanikio yako broo. Naitwa Shaban zege np mkoa singida,shelui 1
@
@ally7741منذ 4 سنواتSalam alaikum, bro ukifundisha kwa hi style, nzuli sana 1
@
@wakuwezaclassic6947منذ 4 سنواتThanks brother huwa najifunza vingi Allah atupe mwisho mwema 3
@
@haikajohn7580منذ 4 سنواتNikweli kabisa zidi kutuelimisha ndugu 1
@
@amourmtungo623منذ 4 سنواتKweli kabisa hasira ni hasara na ni ujinga kabisa sawa na matusi. Kila mtu ana upungufu na udhaifu wake. No body is perfect although everybody is unique 1
@
@emadjuma507منذ 4 سنواتAsante sana kaka ezden nakupenda sana umebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sanaa, nna mwez mmoja tokea niijue chanel hii lkn nimeweza kubadilika id="hidden5" class="buttons"> na kuwa tofaut na nlokua mwanzo asante sana Mimi ni msichana ambae nna umri mdogo sana ila kutokana na hali ya maisha ilinifanya niondoke niende nje ya nchi yangu na huku nlipo sometime napitia wakat mgumu sana lkn video zako zimeweza kunifumbua macho pale nlipokua sion mungu akubariki sana my brother @success pass network one teach one ....وسعت2
@
@madibacelouse6095منذ 4 سنواتNi kweli bro kwani hii motivation imenigusa sana kwani awali nilikuaga ivyo na ichi kitu hutesa watu wengi sana asee, ila nashukuru kwani nowadays nimechange id="hidden6" class="buttons"> kwa kiasi kikubwa sana na pia 90% ya maisha ya watu wengi huona kueka chuki moyoni Ndio solution ya matatizo yao kumbe ni mtazamo hasi. May God bless you bro Ezden ....وسعت
@
@geraldsenkondo4334منذ 4 سنواتNadhani katika yote uliyofundisha hili umefanya vizuri zaidi
@
@richadolph7320منذ 4 سنواتUmezungumza ukweli bro,wengi tunatafuta watu tunaowaita sahihi au company sahihi Bila ya ss KUJIUIZA JE SISI NI SAHIHI?? 1
@
@emadjuma507منذ 4 سنواتAsante sana kaka ezden nakupenda sana umebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sanaa, nna mwez mmoja tokea niijue chanel hii lkn nimeweza kubadilika id="hidden11" class="buttons"> na kuwa tofaut na nlokua mwanzo asante sana Mimi ni msichana ambae nna umri mdogo sana ila kutokana na hali ya maisha ilinifanya niondoke niende nje ya nchi yangu na huku nlipo sometime napitia wakat mgumu sana lkn video zako zimeweza kunifumbua macho pale nlipokua sion mungu akubariki sana my brother @success pass network one teach one ....وسعت2
@
@madibacelouse6095منذ 4 سنواتNi kweli bro kwani hii motivation imenigusa sana kwani awali nilikuaga ivyo na ichi kitu hutesa watu wengi sana asee, ila nashukuru kwani nowadays nimechange id="hidden12" class="buttons"> kwa kiasi kikubwa sana na pia 90% ya maisha ya watu wengi huona kueka chuki moyoni Ndio solution ya matatizo yao kumbe ni mtazamo hasi. May God bless you bro Ezden ....وسعت
Mimi ni msichana ambae nna umri mdogo sana ila kutokana na hali ya maisha ilinifanya niondoke niende nje ya nchi yangu na huku nlipo sometime napitia wakat mgumu sana lkn video zako zimeweza kunifumbua macho pale nlipokua sion mungu akubariki sana my brother @success pass network one teach one ....وسعت 2
May God bless you bro Ezden ....وسعت
Mimi ni msichana ambae nna umri mdogo sana ila kutokana na hali ya maisha ilinifanya niondoke niende nje ya nchi yangu na huku nlipo sometime napitia wakat mgumu sana lkn video zako zimeweza kunifumbua macho pale nlipokua sion mungu akubariki sana my brother @success pass network one teach one ....وسعت 2
May God bless you bro Ezden ....وسعت