AIC DAR ES SALAAM CHOIR
Tunakukaribisha kutazama wimbo Maalum kwa ajili ya Kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Ahimidiwe BWANA Mungu wetu sifa zote ni zake
#ATURUZUKUYE
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 44
@
@alphonsinajohansen353منذ 3 سنواتNaomba ule original wa 1999 pleaseeeeee
@
@jifunzekuhusuwewe7475منذ 4 سنواتKitambo sanaaaa huuu wimbo ila daaa kuna namna mmeibadilisha Umeondoa vionjo vya kale daaaa mmeweka vya ujanani
@
@elisha.mwabwagiloقبل 8 أشهرPraise the Lord. wapendwa wekeni album nzima ya aturuzukuye, MFANYIENI BWANA SHANGWE . Basi kwa kuwa kristo aliteswa
@
@neemamponji2720منذ 3 سنواتMimi naomba ule wa Christmas ,yusuphu na Mariam walikwenda ,uyahudi ili kuwa ni kwa majina. Wageni wengi wamejaa kwako ,Yesu amekosa pa kuzaliwa . Mtuwekee tafadhari
@
@leonardbuswelu5389منذ 5 سنواتNimerikiwa saana na hii nyimbo imetulia
@
@micatunestudio7210منذ 5 سنواتDa!! Huu wimbo wa siku nyingi sana Mungu awabariki sana watumishi wa MUNGU
@
@florameza9529منذ 5 سنواتWimbo unanikumbusha msiba wa mwl nyerere uliimbwa huu wimbo mpaka basi aic mko juu 1
@
@danielmnyagaمنذ 5 سنواتThis song is just anointed ever since God bless you
@
@wilsonkaseha2034منذ 4 سنواتso touching really! Barikiwa mtunzi kwa neema ya kipaji, na waimbaji safiiii
@
@edwardisack1890منذ 5 سنواتhongera sana,nimependa sana huu wimbo hasa sauti zimetulia good
@
@sapiensiajoely228العام الماضيMerce nyagwaswa Yuko wapi jamn ??? Nampenda sn tangu NIKIWA mdogo
@
@jescafulمنذ 5 سنواتThis is new version is Brilliant, It's one of my favorate old songs from 19s. Music now is more combined and well cordinated, Keep improving & God Bless. 5
@
@mercykelly9914منذ 5 سنواتHappy to see you again after a while I'm your fun from Kenya Much love to you and great job 2
@
@pharesmitarya4892منذ 5 سنواتNimeutafuta sana huu wimbo mbarikiwe sana,nimekumbuka jinsi maombolezo ya baba wa Taifa yalivyokuwa.Ila Mercy Nyagaswa sijamuona hapo,nakumbuka aliongoza id="hidden3" class="buttons"> vizuri sana huu wimbo,mara ya mwisho nilimuona akiwa mtangazaji ,kwa sasa sijui yuko wapi ....وسعت1
@
@danielymbangwa3742منذ 5 سنواتWay back 1999 mmenikumbusha mbali sana
@
@jasteve2منذ 5 سنواتKazi nzuri sana ila Mercy angemalizia kule mwisho ingekuwa balaa zaidi. Hongereni sana 2
@
@kingtoldipset7050منذ 5 سنواتIndeed . but i lost my VHS of the very first and origin ATURUZUKUYE video album ,where can i geta copy? some help please !! i have been blessed by the messages from it all these years.
@
@mulokozimwijage7507منذ 4 سنواتMmeimba vizuri sana, hata "body language" inaonyesha mnaimba toka kwenye vilindi vya nafsi zenu. Nimewapenda sanaaaa
@
@innocent91044منذ 5 سنواتMungu awabariki kwa kazi njema wapendwa wa ktk Bwana. 1
@
@protasjoseph6632منذ 5 سنواتNimeupenda sana.ila duh.. N wengine wangeimba pia
@
@pharesmitarya4892منذ 5 سنواتNimeutafuta sana huu wimbo mbarikiwe sana,nimekumbuka jinsi maombolezo ya baba wa Taifa yalivyokuwa.Ila Mercy Nyagaswa sijamuona hapo,nakumbuka aliongoza id="hidden6" class="buttons"> vizuri sana huu wimbo,mara ya mwisho nilimuona akiwa mtangazaji ,kwa sasa sijui yuko wapi ....وسعت1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على AIC DAR ES SALAAM CHOIR - ATURUZUKUYE (OfficialVideo):
wapendwa wekeni album nzima ya aturuzukuye, MFANYIENI BWANA SHANGWE . Basi kwa kuwa kristo aliteswa
Wageni wengi wamejaa kwako ,Yesu amekosa pa kuzaliwa .
Mtuwekee tafadhari
God bless you
I'm your fun from Kenya
Much love to you and great job 2