المدة الزمنية 1:55

WAZIRI UMMY AWA MBOGO, AMCHANA MKURUGENZI HAPO

بواسطة Wasafi Media
2 481 مشاهدة
0
17
تم نشره في 2021/12/21

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi Mh Ummy Mwalimu Ametoa Siku Saba Kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Kutoa Fedha Tsh Million 26 Kwa ajili ya Kumalizia Ujenzi wa Jengo la Miozi(X-Ray) Katika Kituo cha Afya Sokoine. Waziri Ummy Amesema Hayo katika Ziara yake aliyoifanya katika Kituo hicho Kuangalia Maendeleo ya Utoaji Huduma Pamoja na Ujenzi wa Miundo Mbinu ya Kituo hicho. Jengo la Mionzi Limeanza kujengwa Tangu Mwaka 2019 kwa Fedha za Mapato ya Ndani lakini Ukamilishaji wake Umekwama kwa Muda Sasa Kutokana na Halmashauri Kushindwa kutenga Fedha kwa ajili ya Ukamilishaji Wake Sababu kubwa ikiwa ni Tatizo la Kimfumo. WAZIRI UMMY AWA MBOGO, AMCHANA MKURUGENZI HAPO HAPO... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4