Subscribe Channel ya Mkutano: /channel/UCQd2H0a3G8iFLDtlDJdZxJA
Karibu kutazama mkutano mkubwa wa MAPAMBANO HADI USHINDI LIVE.
Muda ni kuanzia saa 11:40 kila siku jioni
Kutakuwa na semina na mahubiri yanayohusu;
1. Familia-Mch. Stephen Letta
Namna ya kuchagua mchumba au mwenzi wa maisha.
2. Darubini ya Imani-Mch Brian Abdallah
Somo la leo ni Biblia ilitoka wapi? Somo linaleta ushahidi wa maandiko kwamba biblia ni hakika neno la Mungu.
3. Pambano KUU-Mch Jonas Singo
Fahamu kanuni za msingi katika kushinda mapambano ya kiroho katika ulimwengu huu. Ungana na mchungaji. Kanuni hizi ni za msingi sana ili uwe mshindi.
Neno kuu la Mkutano: "Lakini katika mambo hayo yote tunashinda, na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda". Warumi 8: 37
Mawasiliano: 0684093174
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على KUCHAGUA MCHUMBA, BIBILIA IMETOKA WAPI, KANUNI ZA KUPAMBANA: MAPAMBANO HADI USHINDI SIKU YA 3: