المدة الزمنية 9:22

Dr. Chris Mauki: Maswali 5 ya kuwasaidia kuboresha tendo la ndoa (Wanandoa)

بواسطة Chris Mauki
11 147 مشاهدة
0
214
تم نشره في 2021/07/03

Kama ulikuwa hujui, mara nyingi maneno mnayoongea na mume au mke wako yanaweza kuboresha au kuua tendo lenu la ndoa. Natamani sana nikusaidie maswali ambayo ukimuuliza mpenzi wako yanaweza kuamsha tendo la ndoa na kuwafanya kufurahia zaidi. #ChrisMauki#Tendo#LaNdoa

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 31