المدة الزمنية 8:55

WADAU WAZINDUA TAASISI YA ELIMU UMEME FOUNDATION DAR

48 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/06/19

WADAU wa umeme nchini wamesema ni muda sahihi kuwekeza kwenye elimu juu ya misingi ya umeme katika kipindi hiki ambacho Serikali inaendelea na mikakati yake ya kuwekeza na kusambaza umeme mijini na vijijini. Akizungumza mbele ya wadau wa nishati ya umeme wakati wa uzinduzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya 'Elimu Umeme Foundation' Mkurugenzi Mkuu wa Geared Consulting Engineeers Ltd Mhandisi Warda Ester Mash'mark amesema mfumo wa umeme kama ilivyo mifumo mingine inafuata viwango vya kitaifa na kimaifa, hata hivyo viwango hivyo vinabadilika, hivyo mitaala haibadiliki kuendana na viwango hivyo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0