#MichuziHabari #MichuziTV #KaziIendelee
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega
amewaagiza Mkurugenzi huduma za mifugo na mkurugenzi vetanary kuhakikisha Chanjo wanazozalisha zinawafikia hadi wafugaji wadogo vijijini ili zilete tija kwa kuwafikia wafugaji kwa gharama nafuu.
Amesema hayo mjini kibaha mkoani Pwani wakati alipotembelea Kiwanda cha kuzalisha Chanjo za Wanyama cha Hester Biosciences Africa Limited.
Mheshimiwa Ulega amesema kuna mifugo mingi kama kuku, ng'ombe hata mbuzi wanakufa kwa kuwa wafugaji hawajui kama nchini kuna chanjo zinazalishwa ingawa kuna maeneo mengine chanjo hizo hazijafika kabisa.
Na Scolastica Msewa.
KWA HABARI MBALIMBALI TEMBELEA:
http://issamichuzi.blogspot.comhttp://mtaakwamtaa.co.tzhttp://michuzijr.blogspot.com
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/michuzitv_255/
TWITTER: https://twitter.com/MichuziBlog
JE, UNA HABARI?
TUTUMIEA KWA EMAIL HII ( michuzitv@gmail.com)
Subscribe MICHUZI TV: /channel/UC6unnWmNahzSEGbRLleGQLQ
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على WAKURUGENZI WAAGIZWA KUHAKIKISHA WAFUGAJI WANAFIKIWA NA CHANJO: