المدة الزمنية 4:34

Enock Bella wa Yamoto Band alikwama kutafuta njia ya kutokea

بواسطة Bongo5
5 448 مشاهدة
0
18
تم نشره في 2017/07/22

Mmoja kati ya wasanii ambaye alikuwa anaunda Kundi la Yomoto Band, Enock Bella amefunguka kuzungumzia ukimya wake baada ya wenzake kama Beka Flavour pamoja na Aslay kuonekana wanaendelea kuporomosha nyimbo kila kukicha. Wasanii wa kundi hiilo kila mmoja anafanya kazi kivyake baada ya kudaiwa kuitilafiana kimaslahi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 5