المدة الزمنية 5:13

VIDEO YA 01. KATI YA 15 MAELEKEZO KWA VIKUNDI

بواسطة HEFOTA TV
129 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2022/02/28

HEFOTA INSTITUTION HEKIMARSM FOUNDATION TANZANIA Asasi ya kiraia ya huduma za Elimu kea Kompyuta na Kubuni Miradi. P.O.BOX 46343 KILUNGULE - DAR ES SALAAM, TELL: 0784-390819 AND E-MAIL: hefotainstitution@gmail.com VIDEO YA 01. KATI YA 15. MAELEKEZO MBALIMBALI KATIKA UANDISHI WA BARUA ZA KIKAZI/MIKOPO. DIBAJI. Tanzania ni nchi iliyopata uhuru tarehe 09.12.1961 chini ya Uongozi Shupavu wa hayati Mwl. Julias Kambarage Nyerere wa awamu ya KWANZA (01). Baada ya uhuru Serikali ilitengetengeneza sera mbalimbali katika kuhakikisha wananchi wake wanajikwamua katika maadui watu (03) ambao Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere anawasisitiza katika hotuba zake mbalimbali ni wafuatao:- 01. Umasikini 02. Ukonga na 03. Maradhi Pamoja na maraisi wengine kuitawala au kuiongoza nchi hii kama Raid Ally Hassani Mwinyi wa awamu ya pili (02), Rais Benjamin William Mkapa wa awamu ya tati (03), Rais Jakaya Mrisho Kikeete wa awamu ya nne (04), Rais John Pombe Joseph Magufuli wa awamu ya tano (05), na sasa Rais Samia Suluhu Hassani wa awamu ya sita. Bado maadui hawa watatu (03) wa 01. Umasikini, 02. Ukonga na 03. Maradhi wanatusumbua. Nchi yetu imejaaliwa hazina nyingi ambazo tukifanya Kazi kwa uzalendo na ushirikiano maadui hawa watatu (03) tunaweza kuwafuta kabisa na kuitafuta maadui wengine. Hivi karibu I Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MHE. Samia Suluhu Hassani alifanya mabadiliko kadhaa katika baraza lake la mawaziri, ikiwemo kuunda wizara mpya ya Maendeleo ya Jamii na MHE. Dr. Dorothy Gwajima kukakibidhiwa kuwa waziri wa kwanza wa wizara hii yenye lengo la kuleta ustawi wa Maendeleo katika Jamii ya wananchi wa Tanzania hususani wasiokuwa waajiliwa, Wajasiliamali. HEFOTA tunapenda kutumiwa fulsa hii kumpongeza Rais kea uamuzi huu hakika maadui wetu watatu tunakwenda kuwapunguza kasi. Kwani hii itawawezesha Wajasiliamali watakaokuwa katika vikundi vya watu watano (05), sana (07), kumi na tano (15) hadi Thelasini (30) wanaweza wakakopeshwa kiasi cha pesa I'll waweze kuendeleza Miradi yao mbalimbali ya shughuli zao za kila siku. Wajasiliamali hawa mara baada ya kupewa simina au maelekezo mafupi katika Ofisi za Maendeleo ya Kata au Halmashauri ya Wilayan hurudi katika vijiji vyao kwa mikoa isiyo hadhi ya jiji na katika mitaa yao kea mikoa yenye hadhi ya jiji, ambapo huanza mchakato wa kutengeneza Katiba, kuisajili kikundi, kufungua akaunti ya kikundi (Benji ya NMB), na baada ya hapo huandika andiko la mradi ilu katika hii mradi kiasi cha pesa wanachohitaji waweze kukopeshwa kama maelekezo ya sera ya gawio la asilimia kumi (10%) ya mapato ya Halmashauri yatolewe Mkopo kwa mgawanyo wa asilimia nne (04%) wanawake, asilimia nne (04) vijana na asilimia mbili (02) watu wanaoishi na ulemavu yatolewe Mkopo kea wananchi Wasio waajiliwa Serikali I (easier watumishi wa imma) HEFOTA INSTITUTION Asasi ya kiraia ya huduma za Elimu kwa Kompyuta na Kubuni Miradi. HEFOTA Rationalization of life Services to Man Simu na WhatsApp:- 0784-390819

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0