المدة الزمنية 4:25

Serikali yazidi kumimina Miradi ya Mabilioni Vijijini: kassimmajaliwa ssh kaziiendelee

بواسطة Bazo TV Online
242 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/11/23

#bazotvonline Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ana nia thabiti ya kuwatumikia Watanzania na kuendelea kuleta maendeleo nchini kote hususani maeneo ya vijijini.   Amesema kuwa Serikali inapeleka miradi mbalimbali ya maendeleo kwa ajili ya kuwanufaisha wananchi wote bila ya ubaguzi wa aina yoyote ikiwemo ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji, elimu na afya.   Ameyasema hayo leo (Jumanne, Novemba 23, 2021) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Lipande, Narungombe, Machang’anja na Namgurugayi akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa.   Akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa daraja la Mto Mbwemkuru linalounganisha wilaya ya Ruangwa na Liwale wenye thamani ya shilingi bilioni nne amesema mradi huo utapunguza adha ya usafiri katika maeneo hayo.    #ssh #kassimmajaliwa #kaziiendelee #tbclive #ayotv #itvtanzania #breakingnews #azamtv #azamnews #ikulutanzania #ikuluzanzibar #ikulumawasiliano #tanzania #KobeHouse #FanBeach #SpiceIslan

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0