```Habari njema. kutoka SUYUTI LINK TANZANIA,
NANE OFA, NANE OFA, NANE OFA.
Badala ya kupia 1,800,000/= na SASA UTALIPIA 1,600,000/= TENA kwa awamu mbili tu.
Mradi wetu upo vikindu mjini maarufu kidubwa Village na mradi umekidhi vigezo vyote.
__________________
Mradi upo 2km kutoka kilwa road
HUDUMA ZA KIJAMII.
Huduma zote za kijamii zinapatikana kama vile.
1.Maji
2.Shule za serikalini
3.Hospitali
4.Umeme upo tayari ndani ya mradi
5.Barabara zinapitika masaa 24 bila shida yoyo te
6.nyumba za ibada zipo karibu
7.Eneo lipo tambarare hakuna mabonde.
8.Viwanja vipo kwenye mpangilio mzuri,kwa mipango miji
__________________
UKUBWA WA VIWANJA.
futi 40x50
Utapatiwa na nyaraka zote za KISERIKALI Kwa kuchangia 10% TSh 1,000,000/=
MAWASILIANO.
Tupigie Simu 0654 77 39 67 au 0687 83 04 05
Utatupata kupitia mitandao ya kijamii kama (Facebook, Instagram, YouTube) kwa jina moja @suyutwilinktanzania
BONYEZA LINK hapa
👇👇
/watch/oeJPoSrqAXUqP
USAFIRI NI BURE KILA SIKU PAKA SITE.
ZINGATIA OFA HII NI YA MUDA MAALUM.
SUYUTWI LINK Tanzania.
TIMIZA NDOTO ZAKO.
```
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على OFA YA NANE BEI 1,600,000 /=: