المدة الزمنية 4:44

Huyu ndiye aliyesimamisha hotuba ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

بواسطة Mwananchi Digital
329 582 مشاهدة
0
2 K
تم نشره في 2021/03/24

Wengi walishtuka. Hawakujua kwa haraka kilichosababisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, asite wakati akihutubiwa wananchi, wageni na viongozi wenzake jijini Dodoma, kwenye mazishi ya kitaifa ya hayati John Magufuli. Kumbe, alifanya hivyo, kupisha wito wa suala ya adhuhuri (adhana), ambayo ilimchukua dakika moja na nusu. Hili lilidhihirisha utii wa imani.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 362