المدة الزمنية 27:5

MAMA ALITAFUTA WANAE KWA ZAIDI YA MIAKA 40/ALIPOKONYWA NA BABA/MAISHA YAO MAPYA BAADA YA KUKUTANA

بواسطة Geah Habibu
121 551 مشاهدة
0
982
تم نشره في 2021/02/28

Mama huyu ametoka NchiNI Kenya kuja kutafuta Watoto wake watatu ambao aliwaacha miaka 43 iliyopita ambapo kwa mujibu wa Mama anasema alipokonywa watoto na baba yao kisha akafukuzwa.Mama anasema alifanya jitihada mbalimbali kipindi hiko ili kuwapata watoto wake lakini hakufanikiwa.Ndipo juzi alipoamua kuja tena Tanzania na kuja katika radio clouds kunitafuta ili niweze kumsaidia kutangaza aone kama ataweza kuwapata wanae. Kwa bahati nzuri baada ya kipindi kuruka kuna watu walisikia na walikuwa wakiwajua watoto hao pamoja na baba yao ndipo walipowaarifu kuweza kufika waje wamuone mama yao...! Fwatilia tukio hili la kusisimua kisha ujionee maisha yao wanayoishi sasa hivi baada ya mama huyu kujuana na wanae aliopotezana nao kwa miaka 43. #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 431
  • @
    @mariamfataki8025منذ 3 سنوات Hii story ilinisisimua sanaaa.! Mzee Taji daaah Mungu ambariki sana 17
  • @
    @margaretwambete1228منذ 3 سنوات Hongera clouds.mzee Taji wewe kiboko yao.Mungu akubariki 48
  • @
    @Da_Geeمنذ 3 سنوات Nimesoma na Mwanahamisi J4 form 5&6 Zanaki High school, ni mpole , mtaratibu, ana upendo wa kweli, hana makuu, ni mnyenyekevu na Mcha Mungu Pia. id="hidden1" class="buttons">
    Alikuwa mtulivu shuleni,. Hana makundi , alikuwa na bidii ya masomo sana, sishangai MUNGU kumfikisha hapo.
    Yaani alifuata ushauri wa Baba yake mdogo kabisaa, hakuwa na Mambo ya wanaume shuleni kabisaa.
    Hongera rafiki yangu kumpata Mama yako, ni furaha ya ajabu! Mungu yu mwema.
    Mpokee mama yako,mfurahie kuwa nae na wakati wa furaha, cherish your time with her. Ni Neema MUNGU amekupa.
    Mtunze Mzee TAJI na mkewe , zidisha upendo kwao pia, yaani hao wazee ni baraka yako.
    ....وسعت 19
  • @
    @meebee2586منذ 3 سنوات God bless you Mzee Taji ,you are the hero 5
  • @
    @abdullahalkindi9673منذ 3 سنوات Mashaallah watoto wa kike wanakuwa na huruma sana kwa wazazi wao hata kama wanawatesa. 7
  • @
    @glorykarim1570منذ 3 سنوات Hakuna radio nzuri Kama ya clouds fm jamani maana mabo wanayofanya ni mazuri sanaa yanampendeza mungu❤️ wanapenda geah habibu MTT mzuri 17
  • @
    @juliethhouseofdesigns147منذ 3 سنوات Mzee Taji Mungu akubariki kwa moyo uo na mama Taji ubarikiwe. 9
  • @
    @liliankemuma9475منذ 3 سنوات Geah Habibu hongera Kwa kazi mzuri unayoifanya nakupenda Tu saana watching from Kenya 7
  • @
    @palokuthereza2555منذ 3 سنوات Mwanahamisi mstaarabu sana ni mtu Mzuri 13
  • @
    @khdigahk4246منذ 3 سنوات Uyo mama angekua wanae wanamaisha magum angeumia Zaid yakuumia lkn kafarijika kwa maisha ya wanae Mazur alhamdulillah 25
  • @
    @olivamarunda8318منذ 3 سنوات Huyo BB mdogo Mungu ambariki Sana naye Mungu Ampe heritage 5
  • @
    @memochep9637منذ 3 سنوات Nilipoteleana na ndugu yangu 1990 kutoka kenya naomba Mungu siku mmoja tutaonana 5
  • @
    @ruwaidaal-ismaily9099منذ 3 سنوات Baba mdogo Mashaallah lakin ndyo mtu alyomuwa hanywi pombe ndyo maana lakin engekuwa anakunywa engekuwa kashawatimuwa lakin mzee aliwalea vizur Tena ana anawapenda 16
  • @
    @fatumakingi9753قبل 10 أشهر Na mnafanana mwenyezi mungu ampe umri mzee taji na akimtwaa basi amjalie pepo
  • @
    @leahemmanuel9029منذ 3 سنوات Mzee Taji atavikwa Taji kwa kazi nzuri ya malezi 8
  • @
    @bosslilyg4390منذ 3 سنوات Mzee Taji una fungu lako kwa Mungu, Mungu akupe umri mrefu na afya tele. 1
  • @
    @hanifatanzania7258منذ 3 سنوات Kumbe Baba mzeentaji. Muislam. Maashalah basijitahidi kuwaongoza na wanao warudi. Kwa Allah. Mavazi wabadilike ww ndiyomumewalea. Utajua na maswari. Kwa Allah naunaonekana unarohonzuri sana Allah akulipe heri lnshallah 1
  • @
    @spreadlove2119منذ 3 سنوات Gea nakupenda unafanya mambo mazuri na ya heri. Halafu umependeza sana darling 31
  • @
    @khamisshee5131منذ 3 سنوات kazi na roho kuuma na kwa yule mama yao alowatelekeza na kuwakana
    akiona hii clap nyumbani kwa mwanahamisi najuwa huko aliko roho yamuuma sana id="hidden4" class="buttons"> kwa mafanikio ya mwanahamisi
    shukran sote ni kwako ww dada Geah


    aka bachuchu mombasa
    ....وسعت 5
  • @
    @rukiakhamsin9220منذ 3 سنوات Masha Allah,bint wa mwanamisi ana fanana na bibi yake 10
  • @
    @dignakanje4508منذ 3 سنوات Mungu niwarehema sana.Namnafanana sana namama yko.Mpka machozi yamitoka. 3
  • @
    @xkingx8041منذ 3 سنوات Mungu awabariki clouds FM. Na da geah wewe!! Inabidi nije nikuone 6
  • @
    @mwanamisiramadhan4773منذ 3 سنوات Masha allah hongera sana somo yangu mwanamisi kwa kumpata mamako kina mwana wapole jamani halafu somo yangu pia anavaa miwani pole mwaya class="buttons"> sisi kina mwanamisi hatutaki kuuitwa mwanahamisi ‍♀️ ....وسعت 5
  • @
    @vailethanod1522منذ 3 سنوات Mzee taji mungu akupe maisha marefu we mzee nakuombea sana 3
  • @
    @salumalriyamyمنذ 3 سنوات Wengi mnamsifu mzee taji. Ni vizuri.
    Lakini kwa fikra yangu wa kusifiwa zaidi ni Mkewe mzee taji.
    1
  • @
    @dorothtobias8053منذ 2 سنوات Gea mbarikiwe Sana mmekuwa faraja Sana kwa familia NYINGI. 1
  • @
    @neydenyo6786منذ 3 سنوات Mzee taji namfananisha na mama yangu mdogo, aliachiwa watoto watano Mimi nikiwa na miaka2 leo hii nina miaka 25 , baba yangu mzazi nasikia yupo sijawahi id="hidden6" class="buttons"> muona ila mama mdogo hajawahi kutuchoka watoto wote watano. Mungu ana malaika wake duniani ....وسعت 36
  • @
    @judithmelvinealuchio8968منذ 3 سنوات kama kweli wa tz muna upendo au ni dunia nzima kuna watu wazuri kama huyo baba mdogo mungu awabariki sana nyinyi wote much love from me 61
  • @
    @janslinjanslin9889منذ 3 سنوات Mungu ni mwema kila siku ukimtegemea hawezi kukutupa 20
  • @
    @alfredmbyopyo3126منذ 3 سنوات Very touching story,sijui ipo kwenye kundi gani la huzuni au furaha,ki ukweli hii story imeniliza na hapohapo imenifurahisha, hongera wanakipindi cha leo tena kwa kulifanikisha hili jambo mungu awabariki 1
  • @
    @juliethhouseofdesigns147منذ 3 سنوات Geah nakupenda bure Mungu akubariki kwa moyo wako wakujitoa
    Mama abaki ata miezi 3 aongee na wanae ikiwezekana ajiandae arudi au watoto waende naye Kenya waone anapoishi ili iwe rahisi kwao kutembeleana.
    3
  • @
    @azamajid9530منذ 3 سنوات Mashallah mama kakuta mambo meupe kwa mwanae mungu akupe nguvu afya geah 10
  • @
    @ablatuny5406منذ 3 سنوات Wanafana sana hasa huyo mjukuu wa kwanza ndio bibi yake mtu mie naona. 34
  • @
    @yusrasalumمنذ 3 سنوات Gea umehakikisha mpaka mjengoni yani natamani km uwepo tujue vingi ila mama kakaa kiuwoga sana mana mwanahamisi anataka kujua vitu vingi 10
  • @
    @happinessmwissemwissw1719منذ 3 سنوات Daaaah hii story imenikumbusha mbali sana siku wazazi wetu walipo kufa duuuuuh ndugu walitugawana kama mboga maisha haya 6
  • @
    @sharifaabdullah6825منذ 3 سنوات Masha allah mungu ambariki mzee Taji ni wazee wachache' wenye hekima' alhamdulilah 8
  • @
    @vickymgaya9337منذ 3 سنوات Mungu mwema sana na hata hivyo wana miili mizuri mama hajazeeka sana wala watoto wake wanalingana na watoto wao 3
  • @
    @sabihahamadi2287منذ 3 سنوات Subuhanallah jamani wanaume wanahatari kweli mungu ni mwema asante dageya mungu akusimamiye kwenye kazi zako akulinde nahasadi na husuda akupe afya 1
  • @
    @aishasalimaishasalim1323منذ 3 سنوات Hii story iliniliza sana Aki mungu ni mwema kazi nzuri gekha 1
  • @
    @zuwenaalamini4158منذ 3 سنوات Yaan .mpaka nasisimka Gea mungu akupe maisha narefu 11
  • @
    @janemburu4112منذ 3 سنوات Mzee mungu akupe maisha malefu kwa kulea hao watoto na akubaliki sana 1
  • @
    @samsungoman5626منذ 3 سنوات Maashallah mungu mwema hamtupi mjawake nawatakia maisha mema 1
  • @
    @hamidaalhabsi8568منذ 3 سنوات Eeeee jamani hakuna kama mama mungu amrehemu huyo Baba yaarabi NA msamehe 2
  • @
    @zakyahya4645منذ 3 سنوات Mashallah clouds ni redio mzuri sana mungu atawalip
  • @
    @pendomangalili7501منذ 3 سنوات Hongera Clouds Redio, Clouds TV hongera mama kuwapata wanao hongera watoto kumpata Mama yenu, Mungu Ni mkubwa sana 10
  • @
    @minnaaibrahim8994منذ 3 سنوات Mmepata mama msimsahau mzee taji na demu wake 3
  • @
    @mariambakari996منذ 3 سنوات Masikini jamani hongereni sana nimejikuta machozi yananitoka kama mimi ndio niko kwa hiyo familia jamani mama amefanana na mwanae dah! Hadi raha kwa kweli 3
  • @
    @allyhamadi678منذ 3 سنوات uyo mama anaitaji sifa katika Kenya kuja kuwatafuta watoto wake na wakati mm nimesusiwa mtoto na mama na mbaka leo ata kumjurie Hari mwanae ataki 2
  • @
    @sweetbertrwiza5982منذ 3 سنوات Mzee Taji na mke wake wana moyo wa tofauti 2
  • @
    @Amina-bq2xeمنذ 3 سنوات Mjukuu photocopy ya bibi mashaa Allaah 9
  • @
    @lorraineatieno6544منذ 3 سنوات Haki ama kweli wanafanana na mama yao. Baa mdogo ubarikiwe. Nisisi wazazi hukosea watoto.bt Mungu awaunganishe. 1
  • @
    @safiyatheonlything7848منذ 3 سنوات Mashallha Munich awaweke lnshallha raha sana nimefurahi kama ndo mm
  • @
    @fatmaabeid9668منذ 3 سنوات Mashallah hongera saanaa bint habib mungu atakupa fungu lako
  • @
    @nahishakiyeassuman5541منذ 3 سنوات Love mama kwakwel ani wamefanana Sana kwakweli 2
  • @
    @mahamudali1453منذ 3 سنوات Hogera mzee tagi kwa kujitoleya kuwalisha watoto howo viziri tuna kuombeya mungu akuzidisheye inshalah from Toronto canada
  • @
    @immaculeevumiliya5140منذ 3 سنوات Kazi nzuli sana umefanya mungu atakulipa
  • @
    @gililwiseمنذ 3 سنوات Yaani huyo mzee Taji na mkewe Mungu awabariki sana kwa upendo wa kukaa na hao watoto 6
  • @
    @valenakomba7686منذ 3 سنوات wanafanana sanaa, yaani hao ni watoto wake kabisaa. hata huyo mjukuu wake anafanana na bibi mpaka maumbile . Mungu awabariki sanaa
  • @
    @sharinv8864منذ 3 سنوات Very painful jamani kwakweli wakati wa mungu ni bora sana sasa familia ina furaha jamani. 2
  • @
    @isaacm1852منذ 3 سنوات Haya mambo nilikua naona ulaya tu sikufiria Africa yapo I'm speechless aisee
  • @
    @eshasozy69منذ 3 سنوات Dada geah unafanyakazi vzr sana
    Hongera sana
  • @
    @mwanamisiramadhan4773منذ 3 سنوات Masha allah mzee taji tabasamu lake latoka moyoni ana roho nzr sana kwa kumuangalia tu tabasamu lake allah akupe upendo huo