المدة الزمنية 1:14

IKULU LEO : RAISI SAMIA SULUHU AGIZA FUNGULIE VYOMBO VYA HABARI

بواسطة Makutano TV
141 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/04/06

#Niwaombe mkafanye kazi na kuwatumikia Watanzania bila ubaguzi kama mlivyoapa, mukawe msaada na sio bughudha au adha kwa Watanzania, msiwe neema au kero na nuksi kwa Watanzania, mkasimamie haki na sio udhalimu au dhuluma na unyanyasaji wa Watanzania, hiyo ndiyo kazi yenu ninayowatuma.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0