Pamoja na kwamba tunaingia kwenye ndoa ili tufurahie ni vema ukafahamu ya kwamba kuna mambo usipo yaelewa vizuri ndoa yako itakutesa. Ni vema uyaelewe ili usijikwae na kuishi maisha ya machozi na majonzi. Haya hapa mambo yenyewe.#DrChrisMauki#Ndoa#Mahusiano.