المدة الزمنية 24:44

MZEE MATONYA ALIYEISHI MIAKA 43 JELA, ASIMULIA A-Z KILICHOTOKEA

بواسطة Global TV Online
181 187 مشاهدة
0
481
تم نشره في 2017/12/20

Subscribe /c/uwazi1 Mzee Mganga Matonya ni moja Kati ya wafungwa waliopata msamaha Wa Rais, John Pombe Magufuli, Wakati Wa sherehe Za miaka 56 Ya Uhuru Wa Tanzania Bara, zilizofanyika mkoani Dodoma. Mzee huyu ambaye ameishi ndani ya Kuta za Magereza Kwa Muda Wa Miaka 47, Kwa kipindi Chote hicho alichokuwa gerezani anasema Alikuwa anaumizwa Sana Na Kumuwaza mkewe Pamoja na watoto zake aliowaacha Wadogo mmoja mkubwa aliyekuwa Na umri Wa Miaka 5, Wa pili aliyekuwa na Miaka 3 pamoja na ujauzito Wa Miezi 2 aliomuachia mkewe, Bi. Magedalea Mganga. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 144