تعليقات - 75
  • @
    @hermanndongolo1550منذ 4 سنوات Ccm wamefanya vizuri sana kuwaruhusu wapinzani 2
  • @
    @cosmasdaud9088منذ 4 سنوات Kweli Rais Yani hapo ni hofu wanaogopa kushindwa na Mara zote hao wanaorudi wananguvu kuliko waliopo 1
  • @
    @frabomdemwa8880منذ 4 سنوات hao wameombwa waje na hiyo ndio ahadi yao 4
  • @
    @salumjumaruhaga2513منذ 4 سنوات Haswaaa ,umeongea hapo Kaka sema ukwelii 3
  • @
    @glorykapenja9473منذ 4 سنوات Ila kweli huyu kaka ameuliza swalila msingi sana 7
  • @
    @lucky9285منذ 4 سنوات Jamaa ajui kuwa wapinzani kwenda Ccm uwa kuna makubaliano toka juu 6
  • @
    @TamuzaKaleمنذ 4 سنوات Babangu mi' napendaga mifano yako tu. Inanikosha moyo wangu. Ulifaa uwe mwandishi wa RIWAYA. Ni fundi wa maneno ya kuchokonyoa nafsi. Inaitwa libebe ukishindwa libwage hapo hapo! 1
  • @
    @bennymochiwa4800منذ 4 سنوات Yani nyinyi mafisiem pamoja Na huyo mwenyekit wenu mmejaa unafiki,ila kiama chenu hakipo mbali
  • @
    @evancemwaitubi6382منذ 4 سنوات Silinde angalia uhalisia wa mambo huo.
  • @
    @emmydzoo8729منذ 4 سنوات Kama niccm unauwezo nizam na uadilifu kwanini usishinde
  • @
    @aybkham5795منذ 4 سنوات Rais Magufuli kwa Uko, ata wapinzani naamini wanakukubali kwa kweli umefanya vema sana na bado inaonekana wazi hujamalizia, na kwa kweli unaweza, Bali id="hidden3" class="buttons"> Zanzibar ipo kazi kubwa . Muhimu itendeke Uchaguzi huru na haki na uwazi. Mana Mungu anaangalia kwa ukaribu zaid.
    .
    ....وسعت 1
  • @
    @ahmedalkiyum7592منذ 4 سنوات Nahoza weee maskn watu hawakutaki kwasbb 1
  • @
    @jtheophil5499منذ 4 سنوات Manyanyaso dhidi ya watu waliotoka upinzani ni makubwa sana ndani ya Ccm.huko chini ndo usiombe.wananyanyapaliwa utafikiri ni corona.wanaitaji elimu ya kutosha ndani ya chama.
  • @
    @salimmauly9575منذ 4 سنوات Akija huyu atanishinda mfano kama membe 4
  • @
    @mwajumabakari3730منذ 4 سنوات Pumbafu we acha wivu hiyo ndy chama Cha ccm hiki Ni chama Cha wote ndio maana wanatoka huko na kuingia ccm wameona Hakuna tabu yeyote acha wivu
  • @
    @zabronnkoy4908منذ 4 سنوات Kwa wengne unaona rahisi ila kwako ww hujataka hata huyo wakushindana na wewe .. 1
  • @
    @rinovarthiliwi1314منذ 4 سنوات Sio kila mwenye nguo za kijani ni mwana CCM. Wengine wamefuata makulaji. CCM inao mamuluki wengi tu.
  • @
    @saeedsaedi2475منذ 4 سنوات Uchumi wakatiii Hali huku mitaani nitete
  • @
    @happynesskibona2679منذ 4 سنوات Lkn si makapi hayoo yaache yarudii ni makapiii usediii❤️❤️❤️
  • @
    @mahyorokalokola4012منذ 4 سنوات Hivi kwa nini mwenyekiti kila anapoongea mara zote hutoa mifano ya mwanamke mwanaume na mapenzi mapenzi!
  • @
    @bahatimichael4538منذ 4 سنوات MWENYEKITI NIMEKUELEWA VIZURI SANA.
    TANZANIA HAKUNA UPINZANI,
    KULIKUWA NA FITINA TU,
    WANANCHI WAMHITAJI MGOMBEA FURANI INATOKEA id="hidden5" class="buttons"> MWINGINE ANAJUWA KUTUMIA PESA,
    KWANINI ASITAFUTE NJIA MBADARA ?
    ....وسعت 3
  • @
    @Travelling_Experienceمنذ 4 سنوات Diamond platnumz afunguka kujenga mgahawa https://youtu.be/7G5zgdyjI_w
  • @
    @salumjumaruhaga2513منذ 4 سنوات Bora alivyo kwambia wewe mwenyekiti ,umetoa jibu zuri
  • @
    @elimwazembe3631منذ 4 سنوات Kwaiyo ata membe mmekuwa nawsws naye kwamba atawashinda ndomana mmemfukuza uwanachama ongera rais kwamajibu yako ya ukweli yasiokuwa Baikal a so 2
  • @
    @aybkham5795منذ 4 سنوات Sasa ivo mulivohesabu kura kwa uwazi ndio uwe uchaguzi guru, hivo hakuna kubebwa mtuu, uyo ndo Uncle Magu amebadilisha, na atashinda mtu kihaki. 1
  • @
    @muniruwahid6648منذ 4 سنوات ccm wameshaanza kugeukana eh na bado endeleeni kununua wapinzani ili mje kugombana wenyew kwa wenyewe 3
  • @
    @aybkham5795منذ 4 سنوات Rais Magufuli kwa Uko, ata wapinzani naamini wanakukubali kwa kweli umefanya vema sana na bado inaonekana wazi hujamalizia, na kwa kweli unaweza, Bali id="hidden7" class="buttons"> Zanzibar ipo kazi kubwa . Muhimu itendeke Uchaguzi huru na haki na uwazi. Mana Mungu anaangalia kwa ukaribu zaid.
    .
    ....وسعت 1
  • @
    @bahatimichael4538منذ 4 سنوات MWENYEKITI NIMEKUELEWA VIZURI SANA.
    TANZANIA HAKUNA UPINZANI,
    KULIKUWA NA FITINA TU,
    WANANCHI WAMHITAJI MGOMBEA FURANI INATOKEA id="hidden9" class="buttons"> MWINGINE ANAJUWA KUTUMIA PESA,
    KWANINI ASITAFUTE NJIA MBADARA ?
    ....وسعت 3