المدة الزمنية 5:33

WANA SWAHIBU NI HATARI SANA | DAKTARI NIPE DAWA KAMA KUNA MGANGA WA KUTIBU MARADHI HAYA NAUMWA

بواسطة Comex Media
513 309 مشاهدة
0
857
تم نشره في 2020/09/07

Dont Forget To Subscribe This Channel ......... Video Shoot By Extra Pictures Under Zanzibar Qaswida Contacts : +255626966000 | zanzibarqaswida@gmail.com Zanzibar Qaswida Booking Info : WhatsApp/Call : +255626966000 Email : zanzibarqaswida@gmail.com Catch Up With Zanzibar Qaswida (Owner) https://www.instagram.com/comextz/ https://www.facebook.com/comexstar https://twitter.com/ComexTz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 126
  • @
    @firdhoushassan1136منذ 3 سنوات Marshall Allah ,,,,May Allah continue to guide you guys on the straight path 1
  • @
    @shamimujumanne5267منذ 4 سنوات Uislamu sasahv sijui kwann hauna nguvu kama zamani ,kwakweli dini yetu inaelekea pabaya M/mungu tunusuru na haya subhanallah 18
  • @
    @halimarahay8851منذ 2 سنوات manshaalah mungu akuzidishiye kaka zangu
  • @
    @teacherney6651منذ 4 سنوات Hao Arrijalu qawwaamuun subhanallah rudini kwa Allah ndugu zangu 3
  • @
    @saidkipaji6285منذ 4 سنوات Uyo alojishika kiuno kashakuwa saivi alikuwa akisoma muntakina hukuwa ivoo weww 3
  • @
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079منذ 4 سنوات Yani ukistaajabu ya musa utaona ya friaun jamani ulimi hauna mfupa nimecheka kwa vitukovyenu mapenzi ni uwendawazimu ila tujitahidini kumuogopa Allah tusiutukanishe uwiislam wetu 3
  • @
    @kadijajaseem5148منذ 4 سنوات nimemunga mkono wiislam anaelekea pabaya mungu ayarudishe nyuma mwashangaza waislam wenzenu 3
  • @
    @munamuna7488منذ 3 سنوات Mhhhhhhh kaswida mhhhhhhh walllah atuepushe na ibilisi 1
  • @
    @muniraomar3704منذ 4 سنوات Hapa mwisho dawa ni umpate umpendae ndiyo dawa yke hakuna daktari Wala mganga hapo 3
  • @
    @saidseleman6004منذ 3 سنوات Kwahiyo siku hzi tarabu imekuwa ruksa ktk dini 2
  • @
    @zulfatdidas369منذ 4 سنوات Allah awaongoze Kwakwel Co Kwa mixer hyo 4
  • @
    @nasmamaulidy501منذ 2 سنوات Mashaallah Allah awape umri mrefu muendelee hivohivo ndugu zangu
  • @
    @idrisabakar8862منذ 3 سنوات tafuteni kazi wana ume wazima mna kata viuno je hao ndgu zenu wafanye nn duu hatar sna 3
  • @
    @trackingboss7109العام الماضي Please let us a little more information about your company Lucas and senzo is saying they closed the
  • @
    @mudathirylove3280منذ 4 سنوات mbn hawasemi kweny mziki wa bongo fleva wanaona hapo2 wanafki hao, wanaswahibu mpo vzr sana mashallah tupe dawa 2
  • @
    @mohamedmussa5200منذ 2 سنوات Hii kazi ya shetani aliyevaa vazi la Uislam ili kuwahadaa waislam. Kwanza ni mziki, halafu mbaya zaidi wanawake wananengua mbele ya wanaume na wameridhika id="hidden2" class="buttons"> na mijianaume menzangu pia imeridhika. Ni mafundisho ya Mtume gani? Hakika huu ni ujahili. Hakuna tofauti na umiss. ....وسعت
  • @
    @yurathawamb129منذ 4 سنوات Haya hayapo ktk uislam ni matamanio yetu tu tamaa za kunipenda dunia zimetushika Allah atunusuru na mengineyo. 6
  • @
    @rashidilimboa7534منذ 3 سنوات Nimepnda kazi zenu ndgu zangu nazipataje CD nawapi zinapatikana
  • @
    @noelariki3618منذ 4 سنوات Mnauharibu uislam, wanaume mnacheza hivyo pia mnachangamana na wanawake kweli ndo uislam gani huo 7
  • @
    @ahmadabdalla619منذ 4 سنوات Subhanallh hakuna hishma ya kanzu hapo 2
  • @
    @mamamuu8217منذ 3 سنوات Uyo alojifunika heeeee aomba balaa Tu
  • @
    @rashidhaji8325منذ 3 سنوات Haina utofauti na tarabu na bongofleva
  • @
    @mudathirylove3280منذ 4 سنوات Watu wanawivu wa maendeleo2 wanaswahibu mpo vzr hao wanaoponda wanajifanya wanajua sana dini 2
  • @
    @munamuna7488منذ 3 سنوات Vigodoro vya akili kwa akili mtihani mmmhhhhhhh mmmmhhhhhhhhh wanaume ndani ya mauno mhhhhh mtihani yàraaabi tuepusheee 2
  • @
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079منذ 4 سنوات Dawa ya mahaba nikumpata mahabubi hhhhh 1
  • @
    @princessafrash8757منذ 4 سنوات Sijaona tofauti ya mziki, taarabu, na hizi qaswda za sikuhizi jamani mtume ameapa vikali juu ya kila bidaa hakika kila bidaa ndogo na kubwa mwisho wke id="hidden3" class="buttons"> Ni motoni (wakulla bid'at dhwalala fii nnar) hakika wallah waislam tunapotea ya Rahman tupe Iman ilo ya kweli tumevaa vaz za kiislam lkn nyoyon Imani za uyakini hatuna subhanallah ....وسعت 4
  • @
    @keyhassan2050منذ 4 سنوات Nimoto wa kuakiaaaa
    Burdani kwakweli
    Cheka pekeangu

    Hongereni kwa kazi nzurii
    1
  • @
    @mohamedmussa5200منذ 2 سنوات Waislam tulikofikia sio pazuri. Hivi hawa hawajui kuwa wanafanya makosa kupiga mziki? Mbaya zaidi wanawake wananengua mbele yao na wanawake wamejiachia! id="hidden4" class="buttons"> Hivi wao wanasoma kitabu gani na wanamfuata Mtume yupi? Au ni kiburi tu? ....وسعت
  • @
    @tamemahmad9902منذ 4 سنوات Hii Qasda au nyimbo jamani maulid tunayaharibu 4
  • @
    @safiambaroukkhamis439منذ 4 سنوات Mupo Pemba au unguja jamani naombaaa mimi
  • @
    @sleyumomar3637منذ 3 سنوات Mnapatikana wapi, unguja au pemba,, naomba mnijibu
  • @
    @yasirfakih3365منذ 4 سنوات Asant kikongoz wangu abuu wewe fund by honest 1
  • @
    @saidbinbakar9725منذ 4 سنوات wana Swahibu kitu kimoja niwashauri. mitindo yenu ya uvaaji kofia mkaziachia bila kukunja baadhi yenu inaleta maana nyengine kwa sababu kila kitu kina id="hidden5" class="buttons"> maan yake unapo vaa kofia ukaiachia hivo inaleta taswira mbaya mjirekebishe. ....وسعت
  • @
    @mohamedmussa5200منذ 2 سنوات Hii kazi ya shetani aliyevaa vazi la Uislam ili kuwahadaa waislam. Kwanza ni mziki, halafu mbaya zaidi wanawake wananengua mbele ya wanaume na wameridhika id="hidden7" class="buttons"> na mijianaume menzangu pia imeridhika. Ni mafundisho ya Mtume gani? Hakika huu ni ujahili. Hakuna tofauti na umiss. ....وسعت
  • @
    @princessafrash8757منذ 4 سنوات Sijaona tofauti ya mziki, taarabu, na hizi qaswda za sikuhizi jamani mtume ameapa vikali juu ya kila bidaa hakika kila bidaa ndogo na kubwa mwisho wke id="hidden8" class="buttons"> Ni motoni (wakulla bid'at dhwalala fii nnar) hakika wallah waislam tunapotea ya Rahman tupe Iman ilo ya kweli tumevaa vaz za kiislam lkn nyoyon Imani za uyakini hatuna subhanallah ....وسعت 4
  • @
    @mohamedmussa5200منذ 2 سنوات Waislam tulikofikia sio pazuri. Hivi hawa hawajui kuwa wanafanya makosa kupiga mziki? Mbaya zaidi wanawake wananengua mbele yao na wanawake wamejiachia! id="hidden9" class="buttons"> Hivi wao wanasoma kitabu gani na wanamfuata Mtume yupi? Au ni kiburi tu? ....وسعت
  • @
    @saidbinbakar9725منذ 4 سنوات wana Swahibu kitu kimoja niwashauri. mitindo yenu ya uvaaji kofia mkaziachia bila kukunja baadhi yenu inaleta maana nyengine kwa sababu kila kitu kina id="hidden10" class="buttons"> maan yake unapo vaa kofia ukaiachia hivo inaleta taswira mbaya mjirekebishe. ....وسعت