المدة الزمنية 3:58

BIRTHDAY YA JOSEPH KUSAGA ATINGA CLOUDS NA FAMILIA YAKE, AOMBA WIMBO WA MBOSSO NAUPENDA SANA

بواسطة Millard Ayo
70 286 مشاهدة
0
824
تم نشره في 2021/06/09

Leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa CEO wa CMG Joseph Kusaga ambapo mapema leo amehojiwa kupitia Clouds na kuelezea mambo mengi ikiwemo mchongo wa Milioni 550 kwa Vijana 55 Baada ya kumaliza mahojiano Kusaga ameulizwa wimbo anaoupenda na akajibu anampenda sana Mbosso na ukapigwa wimbo wa Mbosso ft Spice Diana(Yes) kwa ajili yake———“Mimi nampenda sana Mbosso, Mimi ukinipigia Mbosso nitafurahia”

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 129